• AWAMU YA KWANZA; Vijana 20,000 wataripoti kwenye makambi ya mafunzo ya JKT kuanzia tarehe 01 Juni 2014 na kuanza rasmi mafunzo yao tarehe 08 Juni 2014 na kumaliza tarehe 04 Septemba 2014. Orodha yao itaanza kuonekana kwenye website ya JKT tarehe 11 Mei 2014 kuanzia saa nne (4) asubuhi. 
AWAMU YA PILI; Vijana 14,450 wataripoti kwenye makambi ya mafunzo ya JKT kuanzia tarehe 11 Septemba 2014 na kuanza rasmi mafunzo tarehe 18 Septemba 2014 na kumaliza tarehe 17 Desemba 2014. Orodha yao itaanza kuonekana kwenye website ya JKT tarehe 15 Mei 2014 kuanzia saa kumi (10) jioni.
  • Kijana yeyote mwenye ulemavu unaoonekana aripoiti katika kambi ya mafunzo ya Ruvu JKT (832 Kikosi cha Jeshi).
  • Vijana wote wanatakiwa kuwa na vyeti vya kumaliza Kidato cha Sita (Leaving Certificate).
  • Inasisitizwa vijana waripoti kwenye makambi waliyopangiwa na siyo kuja Makao Makuu ya JKT.
Bofya majina ya makambi yaliyopachikwa hapo chini kupakua na kufungua ukurasa kuona majina ya walioitwa katika Awamu ya Kwanza.
  1. BULOMBORA - KIGOMA
  2. RWAMKOMA - MUSOMA
  3. MSANGE - TABORA
  4. KANEMBWA - KIGOMA
  5. RUVU - PWANI
  6. OLIJORO - ARUSHA
  7. MGAMBO KABUKU - TANGA
  8. MARAMBA - TANGA
  9. MAFINGA - IRINGA
  10. MLALE - SONGEA
  11. MTABILA - KIGOMA
  12. MAKUTOPORA - DODOMA
Kwa ufafanuzi zaidi wasiliana na info@jkt.go.tz

Taarifa hii imetolewa na:
Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 14, 2014

    WAPI CHITA?

    ReplyDelete
  2. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 14, 2014

    Ingawa baada ya kumaliza Kidato cha Sita mwaka 1994 nilikwepa Mchakato wa kujiunga na JKT huku jina langu likionekana nimepangiwa kwenda Kambi No. 678 KJ kama sikosei, Kikosi cha Mgambo TANGA, kabla ya kusitishwa rasmi mwaka 1994 nimeona ni uamuzi mzuri Serikali kuyarudisha mafunzo haya muhimu.

    Nafikiri Mateja, Machangu na Vibaka watapungua sana!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 14, 2014

    Hawa jamaa wanatoa website isiyofanya kazi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...