Katibu wa TUCTA Taifa,Nicolaus Mgaya akizungumza wakati wa kufungua Semina ya Viongozi wa Vyama vya wafanyakazi iliyofanyika kwenye Ukumbi wa CWT Mkoa wa Mwanza.wengine pichani toka kushoto ni Mkuu wa Mawasilano wa SSRA), Sarah Kibonde Msika,Mwenyekiti wa TUCTA (M) Mwanza,Yusuph Simbaulanga na Katibu wa TUCTA Mkoa wa Mwanza, Evarist Mwalongo.
Mkuu wa Mawasiliano wa SSRA,Sarah Kibonde akiwasilisha mada katika Semina hiyo.
Semina inaendelea hapa na Washiriki wakiwa wametulia tuliii.
Bw. Samweli Mkama aliye simama katikati aliyetaka kufahamu hatima ya wafanya kazi 260 ambao hadi sasa tatizo lao halijapatiwa ufumbuzi kutokana na kuchangia mifuko tofauti tofauti.
Picha ya pamoja ya Viongozi hao wa TUCTA waliohudhulia Semina hiyo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...