Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta akisoma Bungeni hotuba ya Bajeti ya Wizara yake kwa mwaka 2014/2015. Bajeti hiyo ilijadiliwa na kupitishwa na Bunge. Bajeti hiyo pia ilisikilizwa na Wabunge wa Tanzania katika Bunge la Afrika Mashariki waliokuwepo Bungeni siku hiyo.
Mbunge Shy-Rose Bhanji (kushoto) akiwa na wabunge wa Bunge la Muungano Mhe James Mbatia na Mhe Beatrice Shelukindo.
Wabunge wakiwa viwanja vya Bunge...
Naibu Waziri wa Sheria na Katiba Mhe. Angellah Kairuki akiteta jambo na Mhe Shy-Rose Bhanji
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...