Mkuu wa idara ya uhamiaji mkoa wa Kilimanjaro Johannes Msumule akizungumza wakati wa semina kwa wafanyakazi wa idara hiyo juu ya maambukizi ya Ukimwi na Virusi vya Ukimwi,semina iliyofanyika katika ukumbi wa chuo cha uhamiaji mjini  Moshi.
Mgeni rasmi katika semina hiyo ambaye ni mwakilishi wa TACAIDS mkoa wa Kilimanjaro Razia Ngaina akizungumza na watumishi wa idara ya uhamiaji(hawako pichani) wakati wa semina juu ya maambuzi ya virusi vya Ukimwi na Ukimwi iliyofanyika katika ukumbi wa chuo cha uhamiaji mjini Moshi.
Katibu wa chama cha waandishi wa habari mkoa wa Kilimanjaro Nakajumo James akizungumza jambo mara baada ya kutakiwa kutoa neno kwa niaba ya waandishi walioshiriki semina hiyo. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...