Kundi la kwanza la Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Ritariza kutoka Rombo Mkoani Kilimanjaro wakiwa katika Picha ya Pamoja na Mbunge wao wa Rombo Joseph Selasini (mstari wa nyuma katikati).
Kundi la pili la Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Ritariza kutoka Rombo Mkoani Kilimanjaro wakiwa katika Picha ya Pamoja na Mbunge wao wa Rombo Joseph Selasini (mstari wa nyuma katikati).
 Mbunge wa  Chama cha Wananchi CUF Mhe.Hamad Rashid akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Ritariza kutoka Rombo Mkoani Kilimanjaro wakati wakiwa katika ziara ya kimaunzo kujionea shughuli za Bunge.

 Mhe.Joseph Selasini akizjungumza na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Ritariza kutoka Rombo Mkoani Kilimanjaro wakiwa katika ziara ya kimaunzo kujionea shughuli za Bunge katika ukumbi wa Msekwa.
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Ritariza kutoka Rombo Mkoani Kilimanjaro wakifuatilia bunge jioni ya leo wakati wakiwa katika ziara ya kimaunzo kujionea shughuli za Bunge. Na Deusdedit Moshi Mtendaji Mkuu wa Photo Solutions wawakilishi wa Michuzi Blog Kanda ya Kati.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...