Kundi la mwisho la watalii wa ndani wakiwa katika uwanda wa Shira wakielekea katika eneo maarufu kama Kanisani yaani Shira Cathedral. |
Watalii wa ndani wakipewa maelekezo ya vifaa mbalimbali yakiwemo mavazi yanayotumika kupandia mlima. |
Watalii wa ndani wakaianza safari ya kuelekea Kanisani Shira Cathedral. |
Baada ya kupanda Kilima kimojawapo watalii wakafika wakiwa hoi. BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...