Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima (katikati), Katibu
Mkuu wa Wizara hiyo, Mbarak Abdulwakil (Kulia), Naibu Katibu Mkuu Mwamini
Malemi (kushoto) wakiwa na Wakuu wa Idara na Taasisi za Wizara ya Mambo
ya Ndani ya Nchi, katika Kikao cha Maandalizi ya Kuwasilisha Bajeti ya Wizara
hiyo inayotarajiwa kuwasilishwa Tarehe 15 Mei, 2014 katika Bunge la Bajeti
linaloendelea mjini Dodoma. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Home
Unlabelled
WATENDAJI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI WAFANYA KIKAO CHA MAANDALIZI YA KUWASILISHA BAJETI BUNGENI DODOMA KESHO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...