Baadhi ya wauguzi wa Wilaya ya Hanang’ Mkoani Manyara, wakiandamana jana kwenye maadhimisho ya siku ya wauguzi ambayo ilifanyika jana baada ya kushindwa kufanyika Mei 12 kutokana na kuwa na wagonjwa wengi kwenye hospitali ya Tumaini ya wilaya hiyo na kituo cha afya Katesh.
Mkuu wa Wilaya ya Hanang’ Mkoani Manyara, Christina Mndeme akizungumza na wauguzi wa wilaya hiyo (hawapo pichani) kwenye maadhimisho ya siku ya wauguzi duniani ambapo katika wilaya hiyo ilifanyika jana kutokana na kushindwa kufanyika Mei 12 baada ya kuwa na wagonjwa wengi kwenye hospitali ya Tumaini ya wilaya hiyo na kituo cha afya Katesh, kushoto ni Mganga mkuu wa wilaya hiyo Dr Winfred Kyambile, Muuguzi mkuu wa wilaya hiyo Benitho Simbamwene na kulia ni Kaimu Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya hiyo Dr Maeda.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 18, 2014

    duuuh...Ankal hapo inabidi tuwe na aina yetu ya kiingereza, kama vile walivyo Jamaicans (Patwa), na West Africans (Pigin). Nafikiri in the place of "chachu" ilibidi watumie neno "catalyst" badala ya "FORCE"... inabidi pia washauriwe kuhakiki uandishi wao i.e. kuna kosa la uandishi e.g. badala ya kuandika "resource" wao wameandika "resorce"

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...