Waziri wa Fedha Mhe. Omar Yussuf Mzee akionyesha begi lenye Hutuba ya Bajeti ya Serikali ya Zanzibar ya mwaka 2014-15.
  Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakifutilia Hutuba yamapendekezo ya makadirio ya mapato na matumizi ya Serikali kwa mwaka wa Fedha 2014-15.
Baadhi ya wakuu wa sekta mbali mbali pamoja na wananchi wakisikiliza Hotuba ya Waziri wa Fedha Mhe. Omar Yussuf Mzee (hayupo pichani) kuhusu mapendekezo ya makadirio ya mapato na matumizi ya Serikali kwa mwaka wa Fedha 2014-15 katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Bweni Zanzibar. Picha na Makame wa Maelezo Zanzibar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 14, 2014

    haya mambo ya kuiga kuonyesha kibegi chenye hotuba ya bajeti ni upumbavu tu , kwa sababu hicho kilichomo kwenye kisanduku kimeandikwa na watu sio kwamba yametokea yenyewe au kujiandika chenyewe , na kinajulikana ni kitu gani kinakuja kusomwa mbele ya watu hakuna siri wala jambo la ajabu , acheni kuiga iga mambo ya kizamani

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 15, 2014

    mdau hapo juu mkali wewe,

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 16, 2014

    Wadau pia lile Rungu kubwa la Kizungu pale meza ya mbele Bungeni tutazame uwezekano wa kuweka Mgolole ama Panga !

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...