Walimbwende 12 wanaotarajia kuwania taji la mrembo wa mkoa wa Kilimanjaro mwaka 2014 wakiwa katika pozi la picha kwenye hotel ya Sal salnero mjini Moshi,shindano hilo litafanyika Juni 6 mwaka huu katika ukumbi wa Kili Home mjini Moshi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 02, 2014

    kwa mtanzania sijui ulimbwende una maana gani?sioni hata mshiriki mmoja aliyeachia nywele zake original

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...