Waziri Mkuu Mhe.Mizengo Pinda akihutubia Bunge kabla ya kuahirishwa hadi Novemba 4, 2014. Kusoma hotuba hiyo BOFYA HAPA
Waziri wa Fedha Mhe.Saada Mkuya akijibu Hoja za Wabunge kuhusu Mswada wa Fedha wa Mwaka 2014 ambao umepitishwa na Bunge Leo.
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika ya mashariki Mhe.Samweli Sita akibadilishana mawazo na waziri Mwenzake Mhe,Mary Nagu.
Mwanasheria Mkuu Mhe.Jaji Frederick Werema akimpa mkono wa kumpongeza Waziri Mkuu Mhe.Mizengo Pinda mara baada ya kulihuitubia Bunge.
![]() |
SpikaMhe.Anna Makinda akiahirisha Bunge |
Wabunge wakisimama baada ya Bunge kuahirishwa rasmi hadi Novemba 4, mwaka huu. Picha na Deusdedit Moshi wa Michuzi Blog Kanda ya Kati
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...