Mchezaji
wa timu ya Ifiti, Kavin Mwandisi (kulia)
akichuana na mchezaji wa timu ya Matema (FC), Hasani Njaa wakati wa
fainali za Castle Lager Perfect Six Kanda ya Kinondoni zililofanika
katika Ufukwe wa Coco Beach Dae es Salaam. Ifinit ilishinda mabao 5-4.
Mchezaji
wa timu ya Tegeta City, Amiry Ally (kushoto)
akichuana na mchezaji wa timu ya Group six, Semi James wakati wa fainali
za Castle Lager Perfect Six Kanda ya Kinondoni zililofanika katika
Ufukwe wa Coco Beach Dae es Salaam. Tegeta ilishinda mabao 4-2.
Mchezaji
wa Timu ya Hot Shot, Kali Ongara (kushoto) akichuana na mchezaji wa
timu ya Ifinit, Kavin Mwandisi, wakati wa fainali za Castle Lager
Perfect Six Kanda ya Kinondoni zililofanyika katika Ufukwe wa Coco Beach
Dar es Salaam Ifinit ilishinda mabao 8-4.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...