Diamond Platnumz mwanamuziki wa bongo fleva asieshikika sasa hivi ambaye ni maarufu zaidi kwenye wimbo wake wa my number one aliyemshirikisha mwanamuziki mwingine wa Nigeria anayefanya vizuri sasa hivi Davido akifanya show kali jijini Los Angeles, California siku ya Jumamosi June 28, 2014 ikiwa pia akijiandaa kwenye BET award'14 inayofanyika leo jijini humo wimbo wake wa my number one aliyeshirikiana na Davido umekuwa nominated kwenye katagoli ya international collaboration. Mgeni wa heshima alikua Mhe. Ahmed Issa ambaye ni Balozi wa Heshima wa Tanzania California.
Mashabiki wa Diamond wakipagawa kwenye showa ya Diamond Platnumz iliyofanyika Los Angeles, California nchini Marekani.
 Diamond Platnumz akiwachengua mashabiki waliohudhuria showa yake ya California wakati 
 akishambulia jukwaa na kuwapagawisha mashabiki wake wa California nchini Marekani.
 Diamond Platnumz akishambulia jukwaa.
mashabiki wakipagawa kwa show ya kukata na shoka toka kwa rais wa wasafi Diamond Platnumz
Picha na Abdul Majid mwakilishi wa Vijimambo Los Angeles California.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. MsemaKweliJune 29, 2014

    Show nzuri Diamond. Ila jamani matumbo hayo.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 30, 2014

    mmhhh hayo mavazi kumbe kuna watu wanavaa kawaida tuu ktk show....kumbe wabongo tukienda ktk show tunatupia sanaeee !!

    Usilolijua sawa na usiku wa giza

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 30, 2014

    lakini mnaungua na jua,vumbi,magonjwa,rushwa,foleni,nk mnatamani kutoka tz mnashindwa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...