Ankal akiwa na mchambuzi maarufu nchini wa mambo ya soka Dr Liky Abdallah wakati wakiandaa kipindi maalumu ya Kombe la Dunia 2014 ambacho kitarushwa Michuzi TV hivi karibuni. Hivyo mdau kaa chonjo usikilize uchambuzi wa uhakika toka kwa mtaalamu huyu. Vile vile kaa mkao wa kula kuona namna utavyoipata MICHUZI TV kirahisi na kufaidi vionjo hivyo na vingine kibao kila siku. STAY TUNED!
Home
Unlabelled
DR LIKY ABDALLAH AIBUKIA MICHUZI TV KUCHAMBUA KOMBE LA DUNIA BRAZIL
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Allah Akbar, kweli umri unakwenda Uncle nakumbuka enzi za DTV wewe na Dr.Liki mlivyokua na sasa hvi mlivyo. Alhamdulilah.
ReplyDeleteHi Five Ankal, ubunifu safi sana cant wait to enjoy soon. Liky ni Dr wa soka na historia ya mambo mengi duniani hakika huwa habahatishi karibu sana kwa mikono miwili the one and only Dr Liky Abdalah.
ReplyDeleteWajina Ughaibuni/ Mtwara
Hii TV inapatikana kwa kingamuzi gani? Je nayo iko juu kwa matukio kama blog hii ya jamii?
ReplyDeleteObserver