Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akitazama sehemu maalum ya kunyweshea maji mifugo,ambayo yeye mwenyewe aliiizindua
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akimtwisha ndoo ya maji mama wa jamii ya kimasai,mara baada ya kuzindua mradi wa maji safi na salama wenye thamani ya shilingi milioni 200 na zaidi, katika kijiji cha Ilela kata ya Esekii wilayani Kiteto mkoani Manyara.
Katibu
Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akiwasalimia wananchi mara baada ya kupokelewa
katika kijiji cha Irkiushbor,wilaya ya Kiteto mkoani Manyara.
Katibu
Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akipata maelezo ya mradi wa maji
katika kijiji cha Ilela kata ya Esekii wilayani Kiteto mkoani Manyara,Mradi huo una thamani ya zaidi ya shilingi milioni 200 na zaidi.
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akiwahutubia waanchi wa kijiji cha Nalangton,Wilayani Kiteto mkoani Manyara.
Sehemu
ya Umati wa wananchi wakimsikiliza katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana
alipokuwa akiwahutubia kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye
uwanja wa mpira mjini Kibaya,wilayani Kiteto mkoani Manyara
Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye akiwahutubia wananchi wa kwenye
mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa mpira mjini
Kibaya,wilayani Kiteto mkoani Manyara
Katibu
Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi kwenye
mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa mpira mjini
Kibaya,wilayani Kiteto mkoani Manyara.
PICHA NA MICHUZIJR-KITETO MANYARA
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
PICHA NA MICHUZIJR-KITETO MANYARA
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...