Kikosi cha kazi cha Pamba FC a.k.a "TP Lindanda" ya Mwanza iliyokuwa moto wa kuotea mbali enzi zake. Mdau mwenye kukumbuka majina yao msaada tutani tafadhali. Picha kwa hisani ya Paul Rwechungura

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. MsemaKweliJune 01, 2014

    1.Madata Lubigisa
    2.David Mwakalebela
    3.Deo Mkuki
    4.Nico Bambaga
    5.George Masatu
    6.Hussein Masha
    7.Beya Simba
    8.Khalfani Ngassa
    9.Kitwana Selemani
    10.John Makelele
    11.Fumo Felician

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 02, 2014

    Namba 12 Nteze John, 15 ni Kitwana Selemani, 14 Fumo Felician
    Mndengereko Ukerewe

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 02, 2014

    Walio kaa chini kutoka kulia ; mwenye bomge la panki ni Geoge Masatu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...