Home
Unlabelled
kutoka maktaba: matangazo ya viota vya maraha enzi hizo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Bado matangazo mawili maarufu yanayonikumbusha enzi hizo baba yangu akinunua magazeti mawili ya uhuru kwa shilingi ishirini na moja lilikuwa mahsusi kwangu (nyumbani me ndio nilikuwa msomaji mkuu baada yake nikiwa na miaka kumi na kadhaa). Moja ni lile Tangazo na Vijana Jazi ya Maneti akitokea na Flana kama ya uncle na jingine lile lilikuja madili jina la makalio makubwa na kuitwa wowo la shoo za MK Group wana tukunyema
ReplyDeletesesophy
Ankal umetumbusha mabali duh! enzi zile ! hili tangazo la mashindano ya maDJ naona lilichorwa na Ibra Washokera na mwenzie David Rajab Manju(Msita),tunaomba utuwekee yale matangazo ya watani wa asili yaani.
ReplyDeleteMSONDO VS SIKINDE,OSS chunusi Vs Kamanyora,Orch.Makassy Vs Matimila,
Usisahau pia vijana wa zamani:
Safari Tripers Vs Afro 70,Super Volcano Vs TK Lipopo(Juma Kilaza)
weh acha tu.
wadau FFU ughaibuni
Enzi hizo mikanda ya sinema haikuwa mingi lakini kila ukumbi utaonyesha sinema hiyo hiyo mida tofauti walikuwa wanfanya mkanda wa kwanza ukiisha mfanyakazi anauwahisha jumba lengine mpaka ajumba yote yanaunyesha kwa siku hiyo hiyo.
ReplyDelete