Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu,
akizungumza na madiwani wa Manispaa ya Kigoma-Ujiji kwenye makao makuu ya PSPF
jijini Dar es Salaam jana. Kulia kwa Mkurugenzi Mkuu, ni Meya wa Manispaa ya
Kigoma-Ujiji, Bakari Beji.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu,
akizungumza na madiwani wa Manispaa ya Kigoma-Ujiji kwenye makao makuu
ya PSPF jijini Dar es Salaam jana. Kulia kwa Mkurugenzi Mkuu, ni Meya wa
Manispaa ya Kigoma-Ujiji, Bakari Beji na Kushoto kwake ni
Mkurugenzi wa Uwekezaji wa PSPF, Gabriel Silayo.
Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu (Kulia), akitoa
maelezo kwa madiwani wa Manispaa ya Kigoma-Ujiji, wakiongozwa na Meya wa
Manispaa hiyo, Bakari Beji, (Wanne Kulia), walipotembelea makao makuui ya PSPF
jijini Dar es Salaam jana. Wasita kulia ni Mkurugenzi wa Uwekezaji wa PSPF,
Gabriel Silayo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...