Baadhi ya washiriki watumishi kutoka katika serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kushoto Bw. Fred Manyika,katikati Bi. Emelda Adam na Bw. Abdul Mhinte wakifuatilia mazungumzo wakati wa mkutano wa kundi la Africa katika mkutano wa mabadiliko ya tabianchi unaoendela mjini Bonn Ujerumani leo (Picha na Evelyn Mkokoi).
Home
Unlabelled
MAJADILIANO YA MKUTANO WA MABADILIKO YA TABIANCHI YAENDELEA MJINI BONN UJERUMANI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...