Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia kwenye maadhimisho ya siku
ya kupiga vita madawa ya kulevya yaliyoadhimishwa kitaifa leo Juni 26-2014
katika viwanja vya Ruanda Nzovwe Mkoani mbeya.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal. akipata maelezo juu ya athari za
utumiaji wa madawa ya kulevya kutoka kwa Msanii Rehema Charamila (RC) wakati
alipotembelea mabanda ya maonesho, kwenye maadhimisho ya siku ya kupiga vita
madawa ya kulevya yaliyoadhimishwa kitaifa leo Juni 26-2014 katika viwanja vya
Ruanda Nzovwe Mkoani mbeya.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal. Akionyeshwa baadhi madawa ya kulevya
na Mkemia Daraja la kwanza Alois Ngonyani, alipotembelea mabanda ya maonesho
kwenye maadhimisho ya siku ya kupiga vita madawa ya kulevya yaliyoadhimishwa
kitaifa leo Juni 26-2014 katika viwanja vya Ruanda Nzovwe Mkoani mbeya.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...