Mke wa Rais,Mama Salma Kikwete akimsikiliza kwa makini Ofisa wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Dr. Emmanuel Francis wakati akitoa taarifa ya huduma zilizotolewa na Mfuko katika maadhimisho ya uchangiaji damu mkoani Kigoma, pembeni ni Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dr. Kebwe S. Kebwe.
Baadhi ya Wananchi wa Mkoa wa Kigoma waliojitokeza kwenye siku ya Uchangiaji Damu.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...