Meya wa Manispaa ya Kinondoni Yusuph Mwenda (katikati) akisaini mkataba wa Ujenzi wa daraja la Mabwepande kwenda Kitongoji cha Kikwete Vision Mji Mpya na Meja Jenerali Dk,Charles Muzanila (kulia) wa Shirika la Ujenzi la Mzinga na Diwani wa Kata ya Mabwepande,Clement Boko (kushoto) huku wadau wakishuhudia.Sherehe ya kusaini ilifanyika eneo la ujenzi.
 Meya wa Manispaa ya Kinondoni Yusuph Mwenda (pili kulia) wakibadilishana nyaraka baada ya kutia saini ya ujenzi wa Daraja na Meja Jenerali Dk,Charles Muzanila (kulia) wa Shirika la Ujenzi la Mzinga na Diwani wa Kata ya Mabwepande,Clement Boko (kushoto) akishuhudia.
Meya wa Manispaa ya Kinondoni Yusuph Mwenda (wa pili kushoto),Diwani wa Kata ya Mabwepande Clement Boko (kushoto) Naibu Meya Songoro Mnyonge (wa pili kulia) na Meja Jenerali Dk,Charles Muzanila (kulia) wa Shirika la Ujenzi la Mzinga,wadau wakiwa katika sherehe ya kusaini mkataba wa Ujenzi wa Daraja linalounganisha Mabwepande na Kitongoji cha Kikwete Visheni.
 Hili ndiyo eneo linalotarajiwa kujengwa Daraja Upande zinakoonekana nguzo za umeme Mabwepande na kwenye watoto ni Kitongoji cha Kikwete Visheni.
Eneo la bonde lenye mto litakapo pita Daraja.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 24, 2014

    Michuzi, kwa nini mmeondoa button ya "Habari Zilizopita"? Mtu ulikuwa unaweza ku-search habari zote za nyuma ilhali sasa huwezi kupata hata za jana au asubuhi ya siku hiyohiyo. Please turudishie, ilikuwa mnaweka mwisho kabisa ya page yenu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...