Makamu wa Rais Dkt. Mohamed Ghalib Bilali, Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na viongozi wengine na waombolezaji wakiwa katika mazishi ya marehemu Amina-Zahara Shabani Mtengeti katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam jioni hii. Marehemu, ambaye ni mdogo wa Hajat Mwantumu Malale, Dkt. Asha-Rose Migiro, Balozi Radhia Msuya, alifariki jana
Shughuli za mazishi zikiendelea
Makamu wa Rais Dkt. Mohamed Ghalib Bilali akiweka udongo kaburini
Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi akiweka udongo kaburini
Waziri Mkuu Mstaafu Dkt Salim Ahmed Salim akiweka udongo kaburini.
ReplyDeleteR.I.P DaAmina
Poleni saana familia kwa msiba
wa ndugu mpendwa wa sisi wote.
Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema
Mikidadi-Denmark
Devastating, absolutely devastating in more ways than one. I am lost for words. You will always have a special place in the hearts of your loved ones and will thus be always remembered.
ReplyDeleteWe are hurting Aunt AMINA.
Love you today, tomorrow and forever.
R.I.P
M.MTENGETI-BARAKA, LONDON,UK.
I was truly saddened by the passing of Amina Mtengeti. I never had a chance to say thanks or goodbye but Amina’s soul has found eternal rest and it is our turn to deal with sorrow. My heartfelt condolences to her family. We are all going the same way.
ReplyDelete