Msanii Mrisho Mpoto mkurugenzi wa Mjomba Bend akipiga picha na viongozi wa CCM kutoka Ludewa katika show iliyoandaliwa na mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe usiku huu jijini Dar es Salaam |
Viongozi wa CCM kutoka kata za wilayaya Ludewa wakijipongeza kwa show kali kutoka kwa Mjomba Bendi baada ya kumaliza mafunzo ya uongozi jijini Dar |
Mkurugenzi wa bendi ya Mjomba Mrisho Mpoto akicheza na wana Ludewa katika show kali iliyoandaliwa na mbunge wao Deo Filikunjombe |
Msanii Mrisho Mpoto kulia akisalimiana na kada wa CCM katikati ni mbunge Deo Filikunjombe. Picha zaidi BOFYA HAPA |
HOLD ON! MJOMBA MRISHO HAVAI VIATU??? HAHAHAHA
ReplyDelete