Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama akimkabidhi cheti cha kuhudhuria mafunzo hayo Eliud Shemauya Katibu wa CCM wilaya ya Ludewa.
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama akimkabidhi cheti cha kuhudhuria mafunzo hayoHonolatus Pilimini Mgaya Katibu Mwenezi wa CCM wilaya ya Ludewa.
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama akimkabidhi cheti cha kuhudhuria mafunzo hayo Rosemary Lwiva Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Njombe.
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama akikabidhi cheti cha kuhudhuria mafunzo hayoviongozi mbalimbali wa kata CCM wilaya ya Ludewa.
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama akimkabidhi cheti cha kuhudhuria mafunzo hayoviongozi mbalimbali wa kata CCM wilaya ya Ludewa

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...