Mhe. Fakih Jundu, Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania (kushoto)
Akitia sahihi katika kitabu cha wageni alipotembelea Mahakama ya Wilaya
GEITA mapema Leo, kulia Mhe. Jaji Mwangesi, Kaimu Jaji Mfawidhi wa
Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza.
Baadhi ya Watumishi wakimsikiliza Mhe. Jaji Kiongozi mapema Leo
Hakimu Mkazi Mfawidhi Mahakama ya Wilaya GEITA, Mhe. Kamugisha akisoma
risala katika Mkutano wa Mhe. Jaji Kiongozi na Watumishi mapema Leo.
(Picha na Mary Gwera, Mahakama ya Tanzania)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...