Baadhi ya wananfunzi katika chuo kikuu cha Ushirika na Biashara Moshi(MUCCoBS) mjini Moshi wakiwa katika ukumbi wa Nyerere kufuatilia Career Day iliyofanyika chuoni hapo. |
Wanafunzi wanaochukua taaluma mbalimbali walipata nafasi ya kuwaeleza waajiri nini wanaweza kufanya pindi watapato nafasi ya kuajiri wa katika taasisi ,kampuni na mashirika mablimbali. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...