Dada wa marehemu Tyson, Doreen akilia kwa simanzi baada ya mwili wa kaka yake kuwasili katika hospitali ya Kairuki Mikocheni jijini Dar es salaam jana jioni. 

Jeneza lenye mwili wa George Tyson likiingizwa mochwari katika Hospitali ya Kairuki, Mikocheni jijini Dar.
Wadau wa tasnia ya filamu wakiwa na jeneza la Mwili wa Tyson ukiwa mochwari katika Hospitali ya Kairuki.PICHA NA GPL
poleni sana wasanii wote na Mungu aipe faraja familia na wote walioguswa, ajali zinatumaliza jamani, mungu atuhurumie
ReplyDelete