1Bw. Irenius Ruyobya Mratibu wa Sensa ya watu na makazi akitoa mada wakati wa semina kwa waandishi wa habari inayohusu Chapisho la Tatu la taarifa za msingi za Kdemografia, Kijamii na Kiuchumi inayofanyika leo kwenye hoteli ya Peacock jijini Dar es salaam ikihusisha waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali va habari, Jarida hilo lilizinduliwa jana na Rais wa jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dr. Jakaya Kikwete kwenye ukumbi wa Mwalimu J. K. Nyerere International Conference jijini Dar es salaam 3Veronica Kazimoto Afisa uhamasishaji wa Sensa ya Watu na Makazi akielezea umuhimu wa Mahusiano katika ya waandishi wa habari na NBS katikamkuwaelimisha wananchi juu ya masuala ya Sensa ya wat na makazi. 5Waandishi wa habari wakifuatilia kwa makini mada zilizokuwa zikitolewa na wataalamu katika semina hiyo. 6Bw. Irenius Ruyobya Mratibu wa Sensa ya watu na makazi akiwa katika semina hiyo pamoja na maafisa wengine wa Sensa ya watu na makazi 7Baadhi ya waandishi wa habari na maafisa wa sensa wakiwa katika semina hiyo 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...