Bondia Said Uwezo (kushoto) akifundishwa jinsi ya kutupa makonde na Shujaa Keyakeya wakati wa mazoezi yake ya kujiandaa kupambana na Thobias Adaut katika ukumbi wa Swai Pub uliopo Ulongoni 'B'  huko Gongolamboto, Dar es salaam.
Bondia Abdallah Mbela kushoto akipiga ngumi kwa Said Uwezo wakati wa mazoezi ya kujianda kupambana mnamo Juni 21 mwaka huu.  Uwezo atapambana na Thobias Adaut katika ukumbi wa Swai Pub huko Ulongoni 'B'  Gongolamboto

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...