Meneja
wa Bia ya Ndovu Special Malt, Pamela Kikuli akionyesha Kikombe
alichoshinda kupitia bia ya Ndovu kutoka katika Kampuni ya Kimataifa ya
Monde Selection nchini Ufaransa kama bia yenye ubora wa kimataifa
wakati wa hafla ya kupongezanma na wadau wa bia hiyo iliyofanyika Dar es
Salaam mwishoni mwa wiki.
Meneja
wa Bia ya Ndovu Special Malt, Pamela Kikuli na Meneja Masoko wa
Kampuni ya Bia Nchini(TBL) wakionyesha Kikombe walichoshinda kupitia bia
ya Ndovu kutoka katika Kampuni ya Kimataifa ya Monde Selection nchini
Ufaransa kama bia yenye ubora wa kimataifa wakati wa hafla ya
kupongezanma na wadau wa bia hiyo iliyofanyika Dar es Salaam mwishoni mwa wiki
Mkurugenzi wa Masoko TBL,Kushila na Meneja masoko TBL, Fimbo Butallah wakizungumza na wadau.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...