Bango la Uzinduzi wa lifti ya kwanza jijini Mbeya.
Sherehe za uzinduzi rasmi wa lifti ya kwanza Jijini Mbeya ukifanyika huku shamra shamra zikiendelea.
 Wadau wakipanda na kushuka kwenye lifti hiyo ikiwa ni sehemu ya kusherehekea uzinduzi wake.
Baada ya uzinduzi  - hodiiii......

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 10, 2014

    The mdudu,haki ya mungu mambo yenyewe ndio kama hivi serikali sio ombi bali ni lazima.hii ni aibu kubwa kwa taifa kama hili la Tz lenye mali lukuki huku vitu kama hiyo LIFT ionekane lulu,

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 10, 2014

    aibu kubwa hii

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 11, 2014

    HAHAHAHAHAHAHAHA DAH

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 11, 2014

    North American they call Elevator!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 11, 2014

    Aaaah... what a joke!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 11, 2014

    Is this the news?!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 11, 2014

    Ni vichekesho tu kwa wengi. Msitucheke sisi wakina Mwanafyale

    ReplyDelete
  8. Ni hatari kupiga hodi kwenye lift cool

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 11, 2014

    Lift inazinduliwa kwa sherehe!! Au jengo ndo limezinduliwa? Kaazi kweli kweli!

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 11, 2014

    Hahahahah duh hii kali can we call it launching jamani jamani jamani this is a shame

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 11, 2014

    Ni aibu hii. Kuzindua lift??

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 11, 2014

    Hahahahahahaaaaaa, duh hii kali. lakini jamani msitufanyie hivyo watu wa mbeya, kweli jamani. hii imeniongezea maisha kwa kicheko.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 11, 2014

    Hii pia itaendana na ongezeko la kisukari, pressure na magonjwa mengineyo yatokanayo na ukosefu wa mazoezi.

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 11, 2014

    Huo ni uongo wa mchana,lift ya kwanza how,wakati pale BOT lift ipo zaidi ya miaka kumi

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 11, 2014

    Yaaani unakusudia lift ya kwanza tokea tz ipate uhuruu?! Dah jamani!!!!!!!.

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 11, 2014

    Hao walioandika hilo neno UZINDUZI WA LIFTI YA KWANZA MBEYA naomba wakamatwe na kufunguliwa mashitaka. Nani aliwaambia Mbeya hakujawahi kuwa na lifti. Nakamilisha research yangu hapa alafu nitaituma, hapa hapa. Na nitafungua kesi mahakamani kuhusiana na ili na wanatakiwa walipe faini. msiwe mnakurupuka vitu vingine ni aibu sana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...