Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mhe Zitto Kabwe akiwa na mama yake Mama  Bi. Shida Salum, enzi za uhai wake. Mhe. Zitto kupitia mtandao wa Twitter amearifu kuwa mama amefariki dunia leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 01, 2014

    inna lillah wa inna ilayhi rajiun, Allah amsamehe madhambi yake

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 01, 2014

    Mola amuhifadhi salama yeye na umat muhhamad kilichobaki dua mtoto kumuombea mama

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 01, 2014

    pole sana mungu akupe moyo wa ushajaa katika hiki kipindi kigumu cha majonzi.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 01, 2014

    Hakika sisi sote ni milki ya Allah na kwake tutarejea. Pole jembe ktk kipindi hiki kigum. Mungu akuongoze ktk kubainisha haki

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 01, 2014

    sisi ni wa Allah na kwake tutarejea.pole sana

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 01, 2014

    Pole kwa yote na Mwenyezi Mungu akutie nguvu na kukupa faraja wewe na wafiwa wote.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 01, 2014

    Kaka ZITTO,POLE SANA!! Allah akupe moyo wa subira na hekima kwa machungu ya kuondokewa na kipenzi MAMA! Ni ngumu lakini utaweza kupita majaribu ya dunia! Tutakukumbuka kwenye sala zetu.! INNAH LLAH WA INNA ILLAIHI RAJIUUN!
    Mdau/ ughaibuni

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 01, 2014

    Mapenzi ya MUNGU na yatimizwe. Pole sana ndg.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 01, 2014

    Inna lillah waina illaih raajiun. Kwa hakika innallah maswabilin. Mwenyezi Mungu S.W amuhifadhi malim pema Inn Shaah Allah.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 01, 2014

    MUNGU AKUTIE NGUVU!

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 01, 2014

    Innalillahi wa Inna ilayhi rajiuna

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 01, 2014

    MUNGU AKUTIE NGUVU

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 01, 2014

    Bwana alitoa na Bwana Ametwaa jina lake lihimidiwe. Pole sana Mhe. Zitto, Mungu akupe faraja kipindi hiki kigumu. Kwa upande mwingine nashauri Serikali ijitahidi kuongeza nguvu kwenye ugonjwa huu wa kansa maana kwa sasa unamaliza watu wengi kuliko kuelekeza nguvu tu kwenye ukimwi, jitihada zifanyike kwa yote mawili. niliwahi kusikia kuna chanzo kwa watoto wa kike kabla hawajafikisha miaka 12 lakini sioni kama kuna jitihada za kuwafikia hao watoto hata kwa kuwafuata mashuleni. Pole sana mhe.zitto tunakuombea kwa Mungu akutangulie wewe na familia kumhifadhi mama yetu kwenye nyumba yake ya milele.

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 01, 2014

    Mwenyezi Mungu amrehemu apate pumziko la amani. Amen

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...