Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa Band aka FFU ughaibuni
wanatarajiwa kutingisha jukwaa tena katika onyesho kubwa la
DIETZEN FESTIVAL,litakalofanyika siku ya jumamosi 14 Juni 2014 katika anuani
Schwimmbad Freibad Waldschwimmbad Dietzenbach, Offenthaler Straße 85, 63128 Dietzenbach, jirani na Frankfurt,huko Ujeurimani,Muziki wa ngoma africa unafananishwa sawa na gwaride la FFU na wapenzi wa bendi hiyo.
Wasilikilize FFU Ughaibuni at www.ngoma-africa.com
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...