Segere-Fatuma Rajabu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 05, 2014

    Hakuna ubishi popote tembea katika dunia hii, huu ndio mziki unao tambulisha asili ya Tanznia. Na kama ukitengenenzwa vizuri, muziki huu utapata heshima.Hii itakuwa sawa na nchi kama vile CUBA - BRAZIL-MATINIQUE-MALI-SANEGAL-TH AFRICA-CONGO. Na nyinginezo.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 05, 2014

    Ebwana yaani nimeburudika mpaka basi....umenikumbusha mbali sana....umenigusa Mzaramo mie mpaka basi.....

    ReplyDelete
  3. Naam mdau hapo juu kasema kweli kabisa. Na bwana Michuzi, ungeendelea kuweka vitu vya aina hii...tukumbaSHANE thamani yetu. Thamani tajiri. Je, ulipokuja London ukatuchukua ngoma Wana Kitoto... uliziweka popote?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...