Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Wazee kutoka kata ya Nsimbo katika jimbo la Kigoma Kusini baada ya kuzungumza nao ofisini kwake bungeni mjini Dodoma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wazee kutoka kijiji cha Kwaraa, Babati wakiwa na Mbunge wao wa Babati Mjini, Kisyeri Chambiri (watatu kushoto) ofisini kwake bungeni mjini Dodoma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na wazee kutoka kata ya Simbo wilayani Uvinza, ofsini kwake mjini Dodoma. Kulia ni Mbunge wa Kigoma Kusini, Mhe David kafulila (kulia) na wa sita kushoto ni Mbunge wa kigoma Mjini Mhe Peter Serukamba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...