Afisa mfuko wa pensheni wa PSPF Hadji.H.Jamadary akizungumza namna yakuweza kufaidika na uchangiaji wa hiari katika mfuko wa pensheni wa PSS.
Afisa masoko Akiwa katika usajiri wa wanachama walio weza kujiunga na mfuko wa hiari
Zoezi la upigaji picha likiwa linaendelea kwa walio jaza fomu za kujiunga na mfuko wa huari PSS. Kwa habari kamili na picha zaidi...
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...