Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisisitiza jambo wakati
akizungumza na makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mh. Li Yuanchao ikulu jijini
Dar es Salaam leo.
-Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na mmiliki wa
kampuni kubwa ya kuzalisha saruji DANGOTE Industries Ltd Alhaji Aliko
Dangote ikulu jijini Dar es Salaam leo (picha na Freddy Maro)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...