Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe 92 kutoka jimbo la Ludewa mkoani Njombe ambao ni wenyeviti kata na makatibu kata wa CCM kutoka kata zote 25 za jimbo la Ludewa na viongozi wa wilaya wa chama hicho ambao leo Juni 16, 2014 wanahitimisha ziara ya siku nne ya mafunzo mjini Dodoma na Dar es Salaam. Wajumbe hao pamoja na Mbunge wa jimbo la Ludewa Mhe Deo Filikunjombe walifika Ikulu kumtembelea Rais. (Picha na Ikulu).
Home
Unlabelled
RAIS KIKWETE ATEMBELEWA NA VIONGOZI WA CCM WA LUDEWA LEO IKULU DAR ES SALAAM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...