![]() |
Familia ya Prof Cuthbert Zebadia Kimambo wa Chuo Kikuu Dar es Salaam inasikitika kutangaza kifo cha Mtoto wao mpendwa Samwel Cuthbert Kimambo (pichani) kilichotokea alfajiri ya leo tarehe 1 June 2014 kwa ajali ya gari.
Habari ziwafikie wana Kimambo wote popote pale walipo, wana Tarimo wote popote pale walipo; ndugu, jamaa na marafiki pamoja na wafanyakazi wote wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Mipango ya Mazishi inafanyika nyumbani kwa Baba wa Marehemu, Mtaa wa Kileleni, Nyumba namba 33, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
|
Home
Unlabelled
TAARIFA YA MSIBA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Prof Kimambo, poleni sana sana! What a loss!! Mwenyenzi Mungu ampumzishe pema. Issangya & family.
ReplyDeletePole Sana Prof. Kimambo and family for your great loss. May his all mighty God give you strength in this Hard times and may he Rest in Peace. Ayo,Larry
ReplyDelete