Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa (katikati)akikabidhiwa vifaa vya usafi vyenye thamani ya sh.mil. 15 na Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dorris Malulu katika
hafla iliyofanyika, Ilala, Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani. Wafanyakazi wa TBL walishiriki kufanya usafi eneo la Karume, Ilala. Kushoto ni Meneja
Uhusiano wa TBL, Emma Oriyo.
Meneja
wa Uhusiano Mambo ya Nje wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Emma Oriyo
(kushoto) akishiriki na viongozi mbalimbali kufanya usafi, Ilala, Dar es
Salaam juzi, katika maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani Dar es
Salaa
Meneja
wa Uhusiano Mambo ya Nje wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Emma Oriyo
(kushoto) akishiriki na viongozi mbalimbali kufanya usafi, Ilala, Dar es
Salaam juzi, katika maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani Dar es
Salaam.
Mstahiki
Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa,(wa pili kulia) akishiriki na
viongozi mbalimbali na wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),
kufanya usafi Ilala, Dar es Salaam,
katika maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani.
Mstahiki
Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa (katikati) akikabidhiwa vifaa
vya usafi vyenye thamani ya sh.mil. 15 na Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya
Bia Tanzania (TBL), Dorris Malulu katika
hafla
iliyofanyika, Ilala, Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya
Siku ya Mazingira Duniani. Wafanyakazi wa TBL walishiriki kufanya usafi
eneo la Karume, Ilala. Kushoto ni Meneja
Uhusiano wa TBL, Emma Oriyo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...