Naibu Mkurugenzi wa kanda wa Mamlaka ya Mawasiliano nchini ,Victor Nkya akizungumza wakati semina ya siku moja kwa maofisa wa polisi wa ngazi mbalimbali mkoa wa Kilimanjaro. |
Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro ,SACP
,Robert Boaz akizungumza wakati akifungua semina ya siku moja kwa
maofisa wa polisi wa ngazi mbalimbali mkoa wa Kilimanjaro
iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano nchini TCRA kushoto kwake ni
Naibu Mkurugenzi wa kanda wa Mamlaka ya Mawasiliano nchini ,Victor
Nkya
Washiriki wa semiana wakiwa katika picha ya
pamoja na mgeni rasmi .Na Dixon Busagaga wa globu ya jamii
kanda ya kaskazini. PICHA ZAIDI BOFYA HAPA |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...