Nauza tractor Massey Ferguson 135 kwa bei poa,kwa maelezo zaidi unaweza wasiliana kwa email hii misasophie@yahoo.com ama kwa simu 078808819
Home
Unlabelled
tractor Massey Ferguson 135 inauzwa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Hiyo namba ya simu haijakamilika
ReplyDeleteTrekta hilo bei ni biloni ngapi?
ReplyDeleteMaana watanzania kwa sasa kuwa Laki si pesa tena kila bidhaa tunaanzia bei ya Bilioni!!!
Kilimo nacho ni kazi ya maana zaidi ya Wizi, na Utapeli Mijini!
ReplyDeleteTuache Usanii mijini tununue matrekta twende shamba tukalime!
kipindi cha nyuma kuna mdau alisema alilipenda tractor aina ferguson lililokuwa likinadiwa,alikataa kulinunua sababu tu jina lake ni la timu ambayo haipendi.nadhani sasa hana sababu tena ya kutokulinunua.
ReplyDelete