![]() |
Haika Lawere akiwa tayari kwa mahojiano na Kwanza Production ya Washington DC |
Katika NJE-NDANI ya Kwanza Production na Border Radio wiki hii, mbali na habari kuhusu Afrika, utasikia mahojiano yangu na Haika Lawere.
Yeye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mbezi Garden Hotel ya Dar Es Salaam Tanzania
Amekuwa mkarimu sana kujiunga nami hapa Maryland USA kuzungumza mengi kuhusu maisha na ujasiriamali.
![]() |
Haika Lawere akizungumza na wanawake kwenye tukio la wanawake waTanzania Washington DC Photo Credits: IskaJojo Studios Usikose kujiunga nami Mubelwa Bandio Jumamosi katika kipindi cha NJE NDANI kuanzia saa sita mpaka saa nane mchana kupitia www.kwanzaproduction.com ama www.bordermediagroup.com |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...