Mdau akisherehekea ushindi wa Chile dhidi ya Spain na mashabiki wa timu hiyo Brazil. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 20, 2014

    Hongera kwa kutuwakilisha, lakini isije kuwa ni wale waliojaribu kuingia bure mchezoni. Ila nimempenda maana wangeshinda Spain ni wazi angeungana nao pia

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 20, 2014

    TANZANIA SANA, YAANI NAFURAHI KUWASPOT HAO WANAOVAA TANZANIA IDENTITY HUKO KWENYE BRAZUKAAAAAAAA

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 20, 2014

    Tunataka tuvume kwa kuwa kwenye mashindano yajayo hata tusipoenda raundi ya pili mradi tufike tu. Sijui tunahitaji kocha wa nje au hawa wetu wataweza kutufikisha?

    ReplyDelete
  4. bibi umemeJune 20, 2014

    Tony hongera kwa kutuwakilisha, maana TZ hatupo kabisa, na Africa inasuasua so we better join the winning team !

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...