Safari ya wanahabari toka Mkoani Kigoma kutembelea hifadhi ya Taifa ya arusha ikaanza
Wanahabri toka Mmkoa wa Kigoma wakiwa ndani ya hifadhi ya Taifa ya Arusha
Waandishi wa habri wa Mkoa wa Kigoma wakipata maelezo kuhusu hifadhi ya
Taifa ya Arusha kutoka kwa Mhifadhi Ikolojia Bi Maria Kirombo
Mambo ya utalii wa ndani kwa wanahabri toka Kigoma ndani ya hifadhi ya Taifa ya Arusha yalikuwa kama hivi.(picha zote na Editha Karlo)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...