Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Mheshimiwa Stephen Masato
Wasira (Mb) Akiwasilisha Bungeni Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa
Mwaka 2013 na Mpango na Maendeleo wa Taifa 2014/15.
Wageni
wa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Mheshimiwa
Stephen Masato Wasira (Mb) ambao ni baadhi ya viongozi waandamizi wa
Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango wakifuatilia kwa umakini uwasilishaji wa
Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2013 na Mpango na Maendeleo
wa Taifa 2014/15.
Katibu
Mtendaji wa Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Dkt. Philip Mpango
(Kushoto) pamoja na Naibu wake, Bw. Maduka Kessy wakifuatilia kwa
umakini uwasilishaji wa Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka
2013 na Mpango na Maendeleo wa Taifa 2014/15.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...