Difenda iliyobeba watuhumiwa wa kesi ya mtoto wa boksi, Hayati Nasra Rashid, ikiwasili Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoani Morogoro. Watuhumiwa watatu akiwemo baba yake mzazi wa Nasra, Rashid Mvungi, mama mkubwa wa Nasra, Mariam Saidi na Mume wa mama Mariam Said walifikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi Morogoro kujibu tuhuma za mashtaka ya kula njama na kumtesa Nasra Rashidi (4) wakati wa uhai wake.
Baba mlezi wa mtoto Nasra, Mtonga Omari akishuka kwenye
Bi. Mariam Said ambaye ni mama mkubwa wa Nasra, akishuka kwenye gari hilo.
Baadhi ya wananachi wakiwazomea watuhumiwa waliokuwa kwenye gari hilo baada ya kesi yao kuhairishwa hadi Juni 12 mwaka huu.
Wananachi hao wakilifukuza gari lililobeba watuhumiwa waliorejeswa polisi kwa mahojiano mapya baada ya mtoto Nasra kufariki dunia.
Pichana Dunstan Shekidele -GPL/Morogoro
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...