Naibu Waziri wa Fedha Mhe.Mwingulu Nchemba kulia akijadiliana na Maofisa
wa Wizara ya Fedha,wakati wakitoka kwenye Ukumbi wa Msekwa walikokuwa
na kikao cha kuandaa majibu ya Hoja za Wabunge kwa Bajeti ya Serikali
kwa Mwaka 2014-2015.Baada ya mjadala uliochukuwa takribani wiki
nzima.Bajeti ya Serikali Ilisomwa na waziri wa Fedha Alhamisi iliyo[pita
na Waziri wa Fedha Mhe.Saada Mkuya nakufuatiwa na uchangiwaji na
mjadala kwa kuchangiwa na Wabunge mbalambali.
Waziri wa Fedha Mhe.Saada Mkuya (aliyevalia Hijabu
)akitoka katika Ukumbi wa Msekwa kuandaa majibu kwa Hoja za Wabunge kwa
Bajeti ya Mwaka 2015-2015 kwa kushirikiana na wataalamu wa Wizara ya
Fedha.
Jioni hii Waziri wa Fedha atajibu Hoja za Wabunge na Kufuatiwa na upigaji kura wa Mbunge mmoja
mmoja ili kuwena kupitisha Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2014-2015. Na Deusdedit Moshi Mtendaji Mkuu wa Photyo Solutions wawakilishi wa Michuzi Blog Kanda ya Kati
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...