Mhe. Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo akifanya mazungumuzo na Mr. Mayank Bhargava Mkurugenzi mwendeshaji wa kampuni ya Next Gen Solar USA kwenye ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani siku ya Jumanne June 10, 2014. Katika mazungumuzo hayo alikuwemo Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula na ujumbe wa Mhe. Waziri wa Nishati na Madini aliokuja nao kutoka Tanzania.
 Mhe. Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhomgo akifanya mazungumuzo na Mr. Mayank Bhargava Mkurugenzi mwendeshaji wa kampuni ya Next Gen Solar USA akiwemo mweyeji wake Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula na ujumbe wa Mhe. Waziri wa Nishati na Madini aliokuja nao toka Tanzania.
 Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula na ujumbe wa Mhe. Waziri wa Nishati na Madini wakifuatilia mazungumuzo hayo yaliyofanyika siku ya Jumanne June 10, 2014 kwenye ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani.
 Mhe. Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo, Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula na ujumbe wa Mhe. Waziri wa Nishati na Madini wakifuatilia mazungumuzo na Mr. Paul Hinks CEO wa kampuni ya Symbion Power. 
 Mr. Paul Hinks CEO wa kampuni ya Symbion Power. akimsiliza Mhe. Waziri wa Nishati na Madini Prof Sosspeter Muhongo.
 Mhe. Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhonho, Balozi wa Tanzania nchini Marekani. Mhe. Liberata Mulamula na uhujmbe wa Mhe. Waziri wa Nishati na Madini wakiwa katika picha ya pamoja na Mr. Mayank Bhargava Mkurugenzi mwendeshaji wa kampuni ya Next Gen Solar USA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...